Historia ya halima mdee akamatwa
HALIMA MDEE ACHARUKA AKIWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU ......
Historia ya halima mdee akamatwa
Halima James Mdee
Halima James Mdee (alizaliwa Makanya, Wilaya ya Same, mkoa wa Kilimanjaro, 18 Machi1978) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la Tanzania, lakini si tena kupitia chama pinzani cha CHADEMA.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Halima James Mdee ni mtoto wa mwisho katika familia ya Profesa James Mdee ambaye alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kikabila ni Mpare.
Mdee alizaliwa katika familia ya Wakristo na alibatizwa kwa kuitwa Theodosia, hata hivyo anatumia zaidi jina alilorithi kutoka kwa bibi yake mzaa baba, Halima.
Halima mdee msagaji
Ukoo wake ni waumini wa dini ya Kiislamu, isipokuwa baba yake na kaka yake ambao walibatizwa na familia yao ikaridhia wawe Wakatoliki.
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Alianza kusoma elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaammwaka1985 na kuhitimu mwaka 1991.
Alichaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari ya Wasichana Zanaki mwaka1992 na kuhitimu kidato cha nne mwaka1995.
Mwaka1996 hadi 1998 alisoma kid